Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjep hebu nisaidiee mume wangu, waambie jinsi penzi letu lilivyo. Au tuwaache kwan??
Mjep yuko usukumani bariadi hajawahi kufinyiwa kwa ndani kwanini umfinyie kwa ndani alafu umevaa shanga kiunoni za kilo 20 una nia gani. Na kwanini umuogeshe na maji ya iliki na karafuu. We endelea tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuuu!!! Hata km nimgekuwepo badoo.
Usingefanyaa chochoteee, na huweziii kwan
Wewe utaruuka me nakucheki tu,, ukinasa kwa hii grip,, utaingia kwenye chupa mwenyewe bila kulazimishwa
 
Mjep yuko usukumani bariadi hajawahi kufinyiwa kwa ndani kwanini umfinyie kwa ndani alafu umevaa shanga kiunoni za kilo 20 una nia gani. Na kwanini umuogeshe na maji ya iliki na karafuu. We endelea tu
Hapo ndio akapoteana kabisa

Mida kama hii vocha watu

Tunagombea

Lakini alivyompata jini madhara

Alinyonywa damu yote ya ukwasi

Mjep kapooza asee

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Mie sio mtu wa Pwani, hayo siyajui. Huyo kalowea kiuno km feni mbovu iliyolosa break. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo ndio akapoteana kabisa

Mida kama hii vocha watu

Tunagombea

Lakini alivyompata jini madhara

Alinyonywa damu yote ya ukwasi

Mjep kapooza asee

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaaah wee tumbo linaumaa kwa kuchekaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mchumbaa em hukooo, nlishavuka hizo level. Usinishushee khaaaaah
Mchumba for sure sie ni wale wazee wa stealth, patience, accuracy and speed,, huchomoi [emoji16][emoji16] af wewe ni mwendo wa biskuti kila siku[emoji1]
 
Hapo ndio akapoteana kabisa

Mida kama hii vocha watu

Tunagombea

Lakini alivyompata jini madhara

Alinyonywa damu yote ya ukwasi

Mjep kapooza asee

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
😂 Aisee uko on point kabisaaa yaani Mjep kapowa utasema jogoo lililonyeshewa na mvua 😂😂 hata kuwika haliwezi
images.jpeg
 
Mchumba for sure sie ni wale wazee wa stealth, patience, accuracy and speed,, huchomoi [emoji16][emoji16] af wewe ni mwendo wa biskuti kila siku[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sanaaa wee, au navojichetua akili hapaa unahisi ni wa kawaidaa sanaa eeeh? Narudia tena nlishavuka hizo level.

Mtoto wa 1St yr ndo utampa hizo tips zako na akaloweaaa, em hukoooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom