Salama madamGood good za hukoo
TupooMpoo nijitose
Mzee wa livakuku niajeSalama madam
Umemisika
Jiselfishe ka selfie ka 2023
Mungu ni mwema kwetunamshukuru Mungu vipi wewe
Hii hali kama una mtu karibu hutakiwi umpe nafasi, asipumzike..mpe dawa tu!Nipo siti ya mbele kabisaaa.
Kwa hiyo warembo wote humu wapo kwenye baridi.
Liverkuku niaje huko, sie ni kipupwe huku kileleni 🤣Mungu ni mwema kwetu
Tunavuna tulichopanda.Liverkuku niaje huko, sie ni kipupwe huku kileleni 🤣
Salama mzeeMzee wa livakuku niaje
Tunavuna tulichopanda.
Arse8 msiponyanyua kwapa mwaka huu,yaani sahauni kabisa kuja kunyanyua huko mbeleni.

Watu walishashave mda wanasubiri tu wakati ufike wanyanyue makwapaTunavuna tulichopanda.
Arse8 msiponyanyua kwapa mwaka huu,yaani sahauni kabisa kuja kunyanyua huko mbeleni.
Fukuzeni klop mumuweke MgundaSalama mzee
Tunajikongoja mdogo mdogo
Msimu siyo wetu huu
Kaa kwa kutuliaTunavuna tulichopanda.
Arse8 msiponyanyua kwapa mwaka huu,yaani sahauni kabisa kuja kunyanyua huko mbeleni.
Nimefurahi kukuona sophy!Nipo
Klop haondoki ni mapito tuuFukuzeni klop mumuweke Mgunda