Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Hizi rika best zinataka mwanaume awe Romantic, ukioata mida nikuoe somo la kuwa Romantic 😆😆😆😆😆Kuna mtu alimuweka kati, akashindwa ashike wapi aache wapi🤣🤣🤣leo kaja kusema eti sijui kubembeleza..ila hata mimi natafuta 45+🤣🤣nimekoma na haya marika yenu