Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari za jioni
IMG_20230111_191437.jpg
 
Asante Mjukuu 🤗

Nikivua hiyo kofia mtaona Kipara cha Babu yenu bure, na hizi Mvi kichwani ndiyo itakuwa balaa 🤪

Bibi yenu amejua kunichagulia nguo kulingana na tukio (Nisije kumsifia Sana Bibi yenu alafu naye akakimbia kama Ruby wa Manara bure 😂)
Fanya one day utublesi naked babuu kwa bibi baki hapohapooo 👌👌👌👌👌 ndio anakujulia na kukupabgilia vizuri!
Wa manara ni kizazi hiki cha mwendokasi wana mambo miambiliii kidogooo!!
 
Back
Top Bottom