Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Genius kama Genius kama namuona anavyoringa na toto zuri la Songea... hongera yake 😘😘😘😘Genius!!!
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Genius kama Genius kama namuona anavyoringa na toto zuri la Songea... hongera yake 😘😘😘😘Genius!!!
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mimi usiniite huku mpaka siku utakayogeuka. Umenishindisha hapa leo hata huruma huna. Karma itakunyorosha tu kwani utakwenda wapi? 😬😬😬
Hii ni noma sana wakuu!
nakubali!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Shougaaaaa anguuu
Hili vazi la batiki umekua km mke wa katekistaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbavu zangu mie uwiiiiiiih. Khaaaah shougaaa siku hizi umepatwaa na nn? Umeibiwaa had nguoo??
Mambo ndiyo haya warembo wa Selfika ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 our beautiful Antonnia 😘😘😘
Wewe na nduguyo Wigelekelo sawasawa ila Wasukuma mna nini? 😂😂😂😂😂😂 kwanza huna mtoto ama mdogo wako huko wa kiume?Mimi usiniite huku mpaka siku utakayogeuka. Umenishindisha hapa leo hata huruma huna. Karma itakunyorosha tu kwani utakwenda wapi? 😬😬😬
Coca umezoea suruali sana eehShougaaaaa anguuu
Hili vazi la batiki umekua km mke wa katekistaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbavu zangu mie uwiiiiiiih. Khaaaah shougaaa siku hizi umepatwaa na nn? Umeibiwaa had nguoo??
Huyo kazoea vipusa tyuu !😁 Ndiomana anadiss zahivoooCoca umezoea suruali sana eeh
sie wengine hatuna kabisa ni manguo marefu tu 😅😅
Piga tu wewe
nipo mwenyewe
Ninayo basi? Kupiga hapa nina kanight dress ka lace, mambo yote hadharani 😜💃💃💃Fanya wepesi dada yetu
Mmmmh wewe una balaaHaya dakika 3 nakupigia Ngoja niende chooni kwanza maana picha zenu nimechafuka shuka hapa
Asante dear huyo wa vipedo na vipusa tucoca mpenda vipendo 😅😅
looking beautiful kipenzi
Mmmmh wewe una balaa
dakika chache hizi
Hapo ndio 5G itasomeka chap kwa ufanisi🤣🤣Ninayo basi? Kupiga hapa nina kanight dress ka lace, mambo yote hadharani 😜💃💃💃