Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kila la heri bosi. Nilikuwa hapo juzi. Wamenipunguzia mafao yangu bila sababu. Shwaini zao!
Hahaha........Pole Mkuu

Mwenyewe nimecheki hapa naona wanataka kunipa 33% awamu ya kwanza then 67% itafuata kidogo kidogo

Naona hawataki kutoa zote kwa mara Moja kama ilivyokuwa awali kwa kuhofia eti tutamaliza kwa kuwajengea Michepuko 🙆
 
My Eyes vs my Avatar 😎
20230111_171014.jpg
 
Wanawali 'vilembwe' viliwasimama Dede

Acha mambo yako ya uvuvi wa ziwani

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Hahaha............kama hao Wanawali watakuwa single Kijana wangu ana nafasi kwaajili yao, ila atawafanyia interview ya kujua kupika Ugali wa kula watu 10 huku Kijijini.

Manake familia zetu Wakulima tuna kula Sana ugali kuliko hizo Pizza 🍕 zao wanazokula Mjini
 
Tuhurumie ndugu yangu. Sababu kuu leo nimeshinda hapa ni kutaka kutopitwa na mgeuko wako. Hebu geuka pulizi niachane na hili liTECNO mpaka kesho. Puliziii
Shimba ya Buyenze 😂😂😂😂😂😂😂😂 kanywe kahawa jioni hii tu. Sura ya kugeuka ninayo basi, bora kisogo tu 😄😄😄😄
 
Shimba ya Buyenze 😂😂😂😂😂😂😂😂 kanywe kahawa jioni hii tu. Sura ya kugeuka ninayo basi, bora kisogo tu 😄😄😄😄
Haya ndugu yangu. Kama hivyo ndo ulivyoamua sawa. Ila nikikuta ushageuka sipo sijui itakuwaje. So disappointed and hurt. Siku nzima yaani sichezi mbali imagine mpaka TECNO imepata moto hatari ndo kweli unafanya hivi! Haya bana 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Pole kama nitageuka, nitakutag sawa eeh. 😄😄😄😉😉
 
Back
Top Bottom