Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Happy new year kwako pia mkuuNipo kamanda. Nasubiria mikutano ya kisiasa kwa hamu hasa siku dogo janja Tundu atakapokiwasha laivu jukwaani na Lema + Wenje huku Heche, Jongwe na Dijei mtoto wa kijijini wakiwepo. Patachimbika kishenzi yaani!
Happy New Year braza
View attachment 2477440






