Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,016
- 177,326
Swallamaaa kabisa mkuuu ✌️✌️! Naona unaitendea haki selfika safi sana!Habari za jioniView attachment 2477668
Swallamaaa kabisa mkuuu ✌️✌️! Naona unaitendea haki selfika safi sana!Habari za jioniView attachment 2477668
Asante sana raraa reree karibu sana tunasubiri...Aisee siku moja nitafanya hivyo kwa ajili yako Bantu Lady 😁
Babe ake Yolly Umenenepaaaa✌️✌️✌️✌️!!
Niko vyedi sana mkuu!! Leo hauna ka selfii ka karibu hapo utublesi 🤔!Uko poa kabisa lakini madamme!
Nawewe tuoneshe umevaa ya nani!😎
Ngoja niangalie hapa dk 0Niko vyedi sana mkuu!! Leo hauna ka selfii ka karibu hapo utublesi 🤔!
Nakuaminia haunaga mbambambaaaa kabisaaa....✌️✌️ Nasubiria hapa 🙇Ngoja niangalie hapa dk 0
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Nani anipige biti tena madam? Nimesikitika na kufedheheka tu vile umeniacha🤣🤣
Yaani penzi lililodumu 22hrs, nikaona kweli mzee mzima nimedhalilika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Ukadindaga kabisa hata kunibless eti!!
Wigelekelo rudia ile selfii yako uko una drive karandinga lako ili nizoom vizure niangalie kitu mara moja! Juzi sikuona vizuri
![]()

Si hukunipa ushirikiano nilikua najibebisha pekeangu mwenyewe hata hukurespond romantikali🙄🤣🤣🤣!Yaani penzi lililodumu 22hrs, nikaona kweli mzee mzima nimedhalilika🤣🤣🤣
Pama hii vipi nayo niijumlishe na Zile raba ehNakuaminia haunaga mbambambaaaa kabisaaa....✌️✌️ Nasubiria hapa 🙇
Ikawa tiketi ya kupewa kadi nyekundu na kufukuzwa uwanjani🤣🤣 kubebisha sijui hata naweza aisee, hizi mambo zenu vijana..Si hukunipa ushirikiano nilikua najibebisha pekeangu mwenyewe hata hukurespond romantikali🙄🤣🤣🤣!
Mwarabuuuu wa Dubaiii 😍😍😍😍😍! Unanikoshaga hapo tu no siasaaa ni naked kweri kweri ✌️✌️✌️✌️!Pama hii vipi nayo niijumlishe na Zile raba ehView attachment 2477864
🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣 hata kama uzee ndio kavu hivoo kipensi??? 🤣🤣🤣🤣🤣😁😁! Kilainishi muhimu dearrr😛😂Ikawa tiketi ya kupewa kadi nyekundu na kufukuzwa uwanjani🤣🤣 kubebisha sijui hata naweza aisee, hizi mambo zenu vijana..