Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣

Ke ni hatari.. Nina karafiki kangu kakike yaan hakana kifua hata kidogo..

Dakika chache tu anatoka kuambiwa asiseme ila chap anakuja kuniambia..

Na anaanza kabisa kusema nimeambiwa nisiseme ila siwez... Huwa niko very cautious when I am sharing my stuff with her maana its in her..😄
Bora kuwa cautious tu
otherwise utabaki na majuto tu .
 
GOOGLE%20Full%20Form.jpg
 
Poa Mkuu nashukuru sana for your time..

I learnt a lot from you Mkuu wangu Tinsley

Leo nimevunja rekodi ya kupost toka nianze kutumia JF.. Uvivu!

Stay blessed 🙌
I'm glad umechat hivyo
unaweza ku engage zaidi humu Jf , i think itakusaidia kidogo ..
since utakuwa unazoeana na watu katika mitandao .hata nje itakuwa rahisi kwako kupata marafiki .

Asante , ubarikiwe tena .
 
Back
Top Bottom