Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kamuombe radhi basi pembeni na wewe, jamaa yangu kakereka hadi anatamani mlango ungekuwa wazi aje muongee huko!!
Najua but pm yangu mbovu 😄😄🤣🤣😄 inabidi tu niombe Samahani hapa hapa. Hajajibu kama kanisamehe 😔😔😔 akinisamehe tu. Hizi drama zinaisha.
 
Wigeeee nimeamka salama kabisa, mimi nikipenda napenda haswaaa...
Glenn ndiyo pekee alikuwa hubby.. shida yake usiwe na wivu, anao kibao. Ukiuliza anasema huyu hivi huyu vile. Ndiyo niko kwa....
Sasa namna hiyo

Kama huwezi kutulia

Mara paap mzabzab umemdondokea

Si balaa hili

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom