Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeona unavyoshoboka

Mzee nuksi huyo

Uzuri wake akitia ulimbo

Kifuatacho ni kimya kimya

Nasubiri siredi yako yenye kichwa kisemacho

Sijawahi ku cheat.. my foot

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mimi tena rafiki yangu? Wapi nimeshoboka 🀣🀣🀣🀣🀣
Hujanijua mimi napenda mtu anipende, kuliko kunipa hela. Yaani awe Romantic anipendee hata asiponipa hela nitampenda. So hela haiwezi nivuta kwa mtu kamweee
 
Jamani my heart is broken into pieces!..huu ni msiba mzito Antonnia nisaidie kuongea na huyu mrembo😩
🀣🀣🀣🀣🀣🀣Relaxxxxx lect!!
Inaonekana ex zako bado wanakupenda and they don't want to loose you kiivo!!
Bantu Lady ni wako tyuu lect usiongee sana just actttt!!πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom