Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah huoni ananisuta na kuniaibisha mkuu?
Lini mimi nikawa na wake wengi bro?.

Wewe ni ndg yangu umewahi kuona niko na dem gani sema kweli
@Bantu Lady huyu ndugu yangu hana baya na mtu, hana mwanamke humu, usiichezee bahati yako kwake.
 
Wigeeee nimeamka salama kabisa, mimi nikipenda napenda haswaaa...
Glenn ndiyo pekee alikuwa hubby.. shida yake usiwe na wivu, anao kibao. Ukiuliza anasema huyu hivi huyu vile. Ndiyo niko kwa....
Hizi drama tunaweza kufikia mwisho?
Maandishi hudumu ujue?
Mbona umepania kunichafua ndg yangu kulikoni?
DIs is serious note ujue Bantu Lady
 
Huna wanawake but ile marafiki wa kike wengiiiiiiii inatakiwa mtu asiwe na wivu...
Aina hii haitaki Antonnia
Watu mnapaswa kubadili mtazamo wenu katika kuyatazama mambo.
1. Kuna wanawake baadhi kampani zao kubwa ni wanaume na ni waamifu kuliko wasio na kampani hiyo...

2. Kuna wanaume nao kadhali wana marafiki wa kawaida tu wa kike na wala hawagongi.
Katika wote ninaotaniana nao humu hata pm hutachat ni ile nimezoea tu kusema na watu.

Kweli Bantu Lady umenishusha sana hadhi yangu hadi nimechukia japo ni chitchat.
BAhati yako umefunga pm haya nisingeandika hapa..
 
I'm so sorry babe
 
Back
Top Bottom