Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Mjeda katuwahi hapa bana!
Mjeda katuwahi hapa bana!
Na mungu alivo fundi wengi wanakuja simama jirani na wewenawapisha yaani
kama nashuka njiani simpi seat hadi nakaribia 😅Na mungu alivo fundi wengi wanakuja simama jirani na wewe
Any hobbies ?I really appreciate your advice..
Thank you for taking your precious time and energy to utter some precious stuff for this Dude as you previously called me..
Speaking about trusting people, on a serious note I trust God and Myself..
I remember, i had this best friend of mine.. Nadiriki kumwita the best sabb we had a lot of precious moments together... Ni mtu ambaye nimedumu naye kwenye urafiki kwa zaidi ya miaka 4... Kuna mpaka michongo iliyobadili maisha yangu ni yeye aliyeniunganisha naweza sema..
Honestly speaking, kutokana na ukaribu wetu na mambo aliyonifanyia aligusa moyo wangu sana mpaka nikaanza kufikiria huenda ndiye mtu sahihi kumwambia some of my really private stuff..
Bahati nzuri, one of my big life value ni being highly confidential, so sikukurupuka kumwambia I kept on buying more time ili nijiridhishe zaidi...
One thing to take a note, ktk kipindi ambacho mimi na huyu ndg tukiwa tumeshibana hasa... Kuna kipindi tulikuwa bado wanafunzi (Actually we met at school) na baada ya uanafunzi...
Kipindi cha uanafunzi was very smooth kwa sisi kushibana maana hatukuwa na any conflicting objective na baada ya uanafunzi kuna kipindi tuliendelea vizuri tu kwa sabb hatukuwa karibu sana kivile...
Huyu ni mtu ambaye nilimuamini na kumpenda sana na sikuwahi dhania tungekuja tofautiana ila changamoto ilianza kipindi ambacho we had to work together so tulilazimilika kuwa karibu lakn tulikuwa na conflicting objectives...
Kiukwel this friend of mine ni wale watu fulani ambao kitu chake kifanyike kwanza kisha chako... Chake important and urgent chako just ordinary... Sasa ilifikia pointi akanza kunidhurumu resources zangu ili tu mambo yake yaende... Mara ya kwanza alichukua a person I have already trained to assist me nikatulia kimya.. The second time I stood on my ground alipotaka kuchukua my assistant tena plus vifaa vya kazi 🤣... Niseme ukweli nilichachamaa kinoma na tulivutana sana mpaka mwisho wa siku akaacha..
So I asked myself what if ningemwambia mambo ningekuwa ktk hali gani Sasa..
Urafiki una maana tu when you are in good state na rafiki yako lkn mkipishana ni shida.. Na kupishana na your fellow muda mwingine ni inevitable sabb tumetoka sehemu tofauti..
Nimemwachia Mungu safari aliyoianzisha aimalize mwenyewe..🙏
Mungu atujalie mwaka huu tupate hata tule wanatotuita tu baby walker nasi tuepukeni na adha hizikama nashuka njiani simpi seat hadi nakaribia 😅
AmenMungu atujalie mwaka huu tupate hata tule wanatotuita tu baby walker nasi tuepukeni na adha hizi
Next time pleaseAmen!
Nisafishe macho basi
Ana umri gani huyu unamdanganya hivi?🤣🤣🤣You're the light, you're the night
You're the color of my blood
You're the cure, you're the pain
You're the only thing I wanna touch
Never knew that it could mean so much, so much...
Bantu Lady
UsijaliNext time please
sina mpya
Kwamba unalala sasa mmhUsijali
Ulale unono Kesho niwahi kukupeleka Morocco.
Nimezama kwenye penzi zito mkuu!😊Ana umri gani huyu unamdanganya hivi?🤣🤣🤣
Bantu Lady
Mko wangapi?🤣🤣🤣🤣Nimezama kwenye penzi zito mkuu!😊
Hahaha amini kwamba siko mita nyingi;Kwamba unalala sasa mmh
nipe na namba za gari kabisa 😅
Wengine wote nimeachana nao mkuu!Mko wangapi?🤣🤣🤣🤣
Wanakuchora ujue😂
MmmhHahaha amini kwamba siko mita nyingi;
tokea hapo ulipo. Ndo tunachoma dawa ya mbu ya udi tulale vizuri kwa daladala.