Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utaliwa mpaka nini eti
πŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Nimeandika na kufuta mara 3, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mimi kwangu hata sikuwazaga kuja kuwa na mtu humu. Kwa mika 9 niliyokuwa humu. Tunaonaga ni Mungu tu alipanga.
Maana mazingira yaliyotufanya tujuane [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316] kati yetu hakuna aliyewaza kama leo tutakuwa hapa. Humu JF naishi naye kama hatujuani kabisa basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] No CC Antonnia
Weeeh
 
Nimeona unavyoshoboka

Mzee nuksi huyo

Uzuri wake akitia ulimbo

Kifuatacho ni kimya kimya

Nasubiri siredi yako yenye kichwa kisemacho

Sijawahi ku cheat.. my foot

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Muache babuu ainjoyy maisha kwa Binti wa kikurya wige hutaki amalizie uzee wake vizuri???
 
Asante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena akute una flirting na Jack palladino
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Uzuri Keshakupa taarifa kuna mmoja hajaja humu utaisoma namba!! Ni anaongeaaaa Wige akasome [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliwahi kuona shanga za kiunoni

Kwa aliyezivaa akipanda ngazi zikakatika

Vile zinavyoruka ruka

Bhas ndio yule msafwa wa kyela

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Weeeeeeehhhh thubutuuuuuuu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nilienae anitoshaaaa tena mpaka nabaki !
Humu acha wanaoweza waendelee kubarikiwa nao tyu mi hapana tena!
Hata Mimi

Kidogo tu halafu mara moja

Halafu siingizi yote

Kichwa tu yaani

Hunipi?

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom