Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi bado mdogo hayo mambo sijaanza😊

Thank you chalii angu, nakupenda pia sana tu.
Mungu aendelee kutubariki mwaka huu uwe wa upendo, furaha na amani katika maisha yetu❣️
Leo au kesho basi twende tukapendane na tule ile milkshake kubwaa au mojito eeh.. nasubiri ☎️☎️☎️ ya mipango yetu.. nije nikudekeze mtoto mzuri usie na hila wala waaa
 
****Kuwa duni. Au kujihamasisha na Chochote kinachofanyika, daima ni chaguo lako.

****Yote tuliyonayo ni matokeo ya kile tumefikiri.

****Mambo mengi muhimu duniani yametimizwa na watu ambao wameendelea kujaribu wakati kunaonekana kuwa hakuna matumaini hata.

Nawatakia wote kheri ya mpya Mungu awabariki atuongeze palipopungua ukawe mwaka wa mafanikio na ndotozetu zote zikatimie
Antonnia@carrasco putin@Glenn@Grahams
cocastic@Mjep Lizzy ERoni@National Anthem Poker Saint Anne Mshana Jr Kapachino Depal Lenie
Nimeshindwa kutag wote nawapenda sana na Nawatakia kheri ya mwakampya
Happy New year 2023 aunt😍
 
Wabheja sana nakwako pia madam!
Mwaka 2023 ukawe wa Baraka furaha amani mafanikio afya njema na uzima telee mpendwa!!
Ubarikiwe sana!
 
ERoni na sophy27 nawatakia kheri ya 2023 .. Mungu akawatendee mlichoshindwa kutendaa.. msalimie mtoto wenu Pellaiah muambieni namuwaza sana nampendaaa.. Mungu akatende jambo kwake mwakaa huu promotion ikawe fungu la maisha ya kila aingiapo na atokapo..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii roho si tulikubaliana unaiacha 2022 lakini?
 
20230101_111626.jpg
 
Back
Top Bottom