Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

****Kuwa duni. Au kujihamasisha na Chochote kinachofanyika, daima ni chaguo lako.

****Yote tuliyonayo ni matokeo ya kile tumefikiri.

****Mambo mengi muhimu duniani yametimizwa na watu ambao wameendelea kujaribu wakati kunaonekana kuwa hakuna matumaini hata.

Nawatakia wote kheri ya mpya Mungu awabariki atuongeze palipopungua ukawe mwaka wa mafanikio na ndotozetu zote zikatimie
Antonnia@carrasco putin@Glenn@Grahams
cocastic@Mjep Lizzy ERoni@National Anthem Poker Saint Anne Mshana Jr Kapachino Depal Lenie
Nimeshindwa kutag wote nawapenda sana na Nawatakia kheri ya mwakampya
Love you more baby girl mwenye rangi yake ya mtume😍

Happy new year, uwe na mwaka wenye furaha na baraka tele
 
Happy New Babe Sis

Rafiki kichizi

Huu mwaka simu za Alfajiri na saa 8 za usiku sitakiii
😂😂
Tuendelee tulipoishia mwaka jana.

Nakupenda ❤️❤️

Lenie
Nakupenda pia shogaa like I can't live without you😂

You are full of +ve vibes, uendelee kuwa good girl na mwaka huu tuenjoy zaidi🥰

Hahahaa simu utapokea utake usitake, yaani ndio tutazidisha
 
Nililala Nikaamka Nikalala Tena Ndo Naamka Sasa.

Tukutane Warehouse kwa Ajili ya Lunch na Mitikasi mingine.

Breakfast Tayari
IMG_20230101_124446_185.jpg
 
Back
Top Bottom