Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
🥰🥰
🥰🥰
ngoja ERoni aje athibitishe hiliHamna mtoto hapo. Ni mtala huo
Heri ya mwaka mpya chief!
Heri kwako pia ostaadhat, Mwenyez Mungu akupe lililo hitaji la moyo wako, ukafanikiwe kwa kila unalotenda.****Kuwa duni. Au kujihamasisha na Chochote kinachofanyika, daima ni chaguo lako.
****Yote tuliyonayo ni matokeo ya kile tumefikiri.
****Mambo mengi muhimu duniani yametimizwa na watu ambao wameendelea kujaribu wakati kunaonekana kuwa hakuna matumaini hata.
Nawatakia wote kheri ya mpya Mungu awabariki atuongeze palipopungua ukawe mwaka wa mafanikio na ndotozetu zote zikatimie
Antonnia@carrasco putin@Glenn@Grahams
cocastic@Mjep Lizzy ERoni@National Anthem Poker Saint Anne Mshana Jr Kapachino Depal Lenie
Nimeshindwa kutag wote nawapenda sana na Nawatakia kheri ya mwakampya
Asante sanaHeri kwako pia ostaadhat, Mwenyez Mungu akupe lililo hitaji la moyo wako, ukafanikiwe kwa kila unalotenda.
Muandiko mzuri huuu, nilipokua O level na advance nilikua na muandiko mzuri, ila sahv nauona km mbayaa, maisha yashanichapaaa.

****Kuwa duni. Au kujihamasisha na Chochote kinachofanyika, daima ni chaguo lako.
****Yote tuliyonayo ni matokeo ya kile tumefikiri.
****Mambo mengi muhimu duniani yametimizwa na watu ambao wameendelea kujaribu wakati kunaonekana kuwa hakuna matumaini hata.
Nawatakia wote kheri ya mpya Mungu awabariki atuongeze palipopungua ukawe mwaka wa mafanikio na ndotozetu zote zikatimie
Antonnia@carrasco putin@Glenn@Grahams
cocastic@Mjep Lizzy ERoni@National Anthem Poker Saint Anne Mshana Jr Kapachino Depal Lenie
Nimeshindwa kutag wote nawapenda sana na Nawatakia kheri ya mwakampya
Yani huyu auntyangu ana mambo 😂😂
Pole sana kiongozi, atakuwa alilala kwenye mkesha huko. 🤣🤣🤣
😀😀😀 nyie hapa mnaibuka pamoja na huwa mnayoweka pamojaaa... nyie inabidi muwe watu wangu wa kuiga mnavopendaanaaaHeri kwako pia ostaadhat, Mwenyez Mungu akupe lililo hitaji la moyo wako, ukafanikiwe kwa kila unalotenda.
Ahsanteeeeee shangaziiii angu na Mke mwenzaaaa****Kuwa duni. Au kujihamasisha na Chochote kinachofanyika, daima ni chaguo lako.
****Yote tuliyonayo ni matokeo ya kile tumefikiri.
****Mambo mengi muhimu duniani yametimizwa na watu ambao wameendelea kujaribu wakati kunaonekana kuwa hakuna matumaini hata.
Nawatakia wote kheri ya mpya Mungu awabariki atuongeze palipopungua ukawe mwaka wa mafanikio na ndotozetu zote zikatimie
Antonnia@carrasco putin@Glenn@Grahams
cocastic@Mjep Lizzy ERoni@National Anthem Poker Saint Anne Mshana Jr Kapachino Depal Lenie
Nimeshindwa kutag wote nawapenda sana na Nawatakia kheri ya mwakampya

😂😂Asante aunt mume atatunzwa tu tukishindwa aongeze mwingine atuchangamshe😂😂Ahsanteeeeee shangaziiii angu na Mke mwenzaaaa
Tumtunzee mume wetu vizuriiii, kheriii yakooo shombe shombe wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wengi wenu ama mna mimba changa zisizo babaHyo comment ya Wige sijaiona cjui imefichwa, ningempa jibu la kuanza mwakaa 2023. Hata akiambiwaa apunguze ukilopo lopo haelewiiii.
Mxxxxieeeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
alie niibia Darlin nitamroga, hawezi share raha na utamu navyopewa mie.. haikubalikiPole sana kiongozi, atakuwa alilala kwenye mkesha huko. 🤣🤣🤣
Mimi bado mdogo hayo mambo sijaanza😊Lenie tayari kwani 😉😉😉
Nakupenda, Mwaka wa 2023 uwe mwaka wa promotion kwako na familia yako. Kazi ya mikono na miguu yako ikasimame kila mahala
kheri ya mwaka mpya mzee..Nadhani wengi wenu ama mna mimba changa zisizo baba
Mnajikuta nani kwanza
Lopo lopo nyuchi zenu
Pumbaf
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Hahaaa kakaake taratibu ndio kwanza mwaka umeanzaNadhani wengi wenu ama mna mimba changa zisizo baba
Mnajikuta nani kwanza
Lopo lopo nyuchi zenu
Pumbaf
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Asante mkuu,kheri na kwako piakheri ya mwaka mpya dada mzuri