sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Ameen ameeenHappy New Year Sumbai
Mwaka ukawe mwema kwako na uwapendao
Ameen ameeenHappy New Year Sumbai
Mwaka ukawe mwema kwako na uwapendao
Nipo mume wangu. Nilikua kanisani jana kwenye mkesha nikuombee kibanda chetu cha matunda kipate wateja.Mke wangu Darlin nani kakuteka ? toka jana hupokei simu wala hujibu text.. nini tena wife...
Mwaka 2023 uwe kheri na baraka kwako
Nakuja kuikagua, nione kama sijahujumiwaSikuibiwa my wangu unajua kabisa bila wewe siwezi iyo nguvu ya kutoa utamu nje naipatia wapi😒
mbona sikuoni 😒😒😒Njoo uchukue.
Wooooooow 🙉
Urz luukin so mwaaaah!!!Tunavyouanza mwaka na bi mzuri.View attachment 2465465




Karibu mpenda kibamia😅
Wamekuvuruga msukuma 😁😁!!Poa poa
Naweka utaratibu maana kuna vimazoea hapa vinataka kumea
Ignore sijui iliwekwa kuchambia
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kweli mwili haujengwi kwa matofaliii 😁 😋😋😋😋😋!!Karibuni lunch 2023View attachment 2465522
NakupigiaaaLeo au kesho basi twende tukapendane na tule ile milkshake kubwaa au mojito eeh.. nasubiri ☎️☎️☎️ ya mipango yetu.. nije nikudekeze mtoto mzuri usie na hila wala waaa
Wapotezee kakaake wasikuharibie sikuPoa poa
Naweka utaratibu maana kuna vimazoea hapa vinataka kumea
Ignore sijui iliwekwa kuchambia
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
ndio maana nakupenda🥰🥰🥰Nakupigiaaa
Jiandae leo jioni mojito🍹 itapendeza zaidi
ukimaliza kula episode 2.. 😀😀😀Karibuni lunch 2023View attachment 2465522