Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy new year wishes to my dearest friends and family@Antonnia cocastic Tinsley Mjep Grahams Wigelekelo National Anthem Carrasco putin Ms cee myoyambendi
Mwaka huu mpya wa 2023 ukawe wa mafanikio kwenu, Mungu awajaalie afya tele, baraka na fanaka tele zikawaangazie nyinyi na familia zenu.
Poleni kwa safari ndefu ya 2022 iliyokuwa na mambo tele sana, sasa tuiweke nyuma yetu tuangalie 2023.
Muwe na usiku mwema lot's of love from Poker

Happy New Year 2023 to you brother!

Tunashukuru Mungu kwa kutupa kibali Cha kuona Mwaka mpya 2023.

2023 ukawe ni Mwaka wenye heri kwa Kila Mmoja wetu hapa.

Sisi tuliozaliwa na kuwa mashabiki wa Arsenal, 2023 uwe ni Mwaka mwingine wa kubeba EPL tukiwa na Kikosi chenye wastani wa umri wa akina Saint Anne na wadogo zake akina Carrasco putin putin 🤪🤪

Happy New Year 2023, Guys 🥂
 
Heri ya mwaka mpya. To friends we lost, to friends we’ve gained. 2023
7655F736-9FDA-4B8F-BA17-C63A7FC23471.jpeg
 
Kuingia mwaka 2023 na akili(kitovu cha fikra) zilizopelekea uishi maisha ambayo hukuridhika nayo 2022 ni sawa na bure...

Happy new year good people.
Happy New Year chief
 
Back
Top Bottom