Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy new year wishes to my dearest friends and family@Antonnia cocastic Tinsley Mjep Grahams Wigelekelo National Anthem Carrasco putin Ms cee myoyambendi
Mwaka huu mpya wa 2023 ukawe wa mafanikio kwenu, Mungu awajaalie afya tele, baraka na fanaka tele zikawaangazie nyinyi na familia zenu.
Poleni kwa safari ndefu ya 2022 iliyokuwa na mambo tele sana, sasa tuiweke nyuma yetu tuangalie 2023.
Muwe na usiku mwema lot's of love from Poker
Asante sana mkuu Poker
Heri ya mwaka mpya 2023 kwako pia chief
 
Happy new year wishes to my dearest friends and family@Antonnia cocastic Tinsley Mjep Grahams Wigelekelo National Anthem Carrasco putin Ms cee myoyambendi
Mwaka huu mpya wa 2023 ukawe wa mafanikio kwenu, Mungu awajaalie afya tele, baraka na fanaka tele zikawaangazie nyinyi na familia zenu.
Poleni kwa safari ndefu ya 2022 iliyokuwa na mambo tele sana, sasa tuiweke nyuma yetu tuangalie 2023.
Muwe na usiku mwema lot's of love from Poker
Kheri ya mwaka mpya mkuu. 2023 iwe kheri na yenye kukata kiu ya kila ulitakalo
 
Back
Top Bottom