Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo ni code na hapo si kashajua mjeda katoka sudan ana fungu la hela hivyo anasema kaibiwa ili anunuliwe furniture mupyaaa! Mjeda kapeleleza kagundua vitu viko ukobani, hivyo ameambiwa boss lady anadaiwa 3ml alikopa kwaajili ya biashara ya ubuyu, kashata na visheti kuwauzia wanafunzi. Ila wanafunzi wakamzidi ujanja akafilisika.
Mbavu zangu mie jomoneeeeeh, khaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona vilikuja virikuu viwili na maturumbeta kwa mujibu wa mashuhuda!
Na pia tumebaini unadaiwa saccos, braki, nyonya damu na benki nmb.
Na pia pale dukani kwa muha unadaiwa vijora viwili ulivyomtumia cocastic kwenye kitchen party yke!
alinipa vitu vingi shougaaa angu, alinifungashiaaaa haswaaaaa, kumbee pesa alikopaaaaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom