Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,997
- 137,035
Pole dear,wezi wanarudisha nyuma.Asante mamy Tulisafiri wotee!!
Pole dear,wezi wanarudisha nyuma.Asante mamy Tulisafiri wotee!!
Nilifanya hivyo, why haikutokea picha zikatokea sijui namba. Nitajaribu siku hiyo hiyo nitakuwa nafunga mwaka.Angalia sehemu pale ya ku attach files pale ndio penyewe Bantu Lady
Yeah..Hii ni Dar?
Unaeza jaribu hata kupiga mikono yko kama sample Bantu Lady ujaribu ili mwalimu wako nikuelekeze vzr! 🤗Nilifanya hivyo, why haikutokea picha zikatokea sijui namba. Nitajaribu siku hiyo hiyo nitakuwa nafunga mwaka.
SemaHuyu Bantu Lady ni shidaa nyingine aisee mi kuna mdau aliniambia ni pisi balaa ukiiona huyo Saint Anne utamuacha dakika 0
Anaenda kwenye write a commentHapa ndio penyewe na vocha utakuwa unapata za bure maana hela zangu hazina kazi.
Wigelekelo hebu toa maelezo chap namna ya ku-upload picha kwa watumiaji wa tekno.
Na nimemwambia afanye majaribio hata mkono wake tuuone kaingia mitini! Cjui kwanini watu wenye wowowo wana aibu sana ukianza na mama yangu Rumaiya na Bantu Lady kasoro muhanga wa ujambazi aliyeibiwa mabeseni mchana kweupeee yeye huwa hana aibuu wapi boss lady AntonniaAnaenda kwenye write a comment
Chini ana scroll kuna neno photos file
Anabonyeza kizenji
Itamletea camera photo gallery
Anatia dole kwenye gallery au camera
Anabetua picha inakaa
Itaandika processing hadi % ijae
Then anatubless
Simple like that
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Huyo tako lina TBSNa nimemwambia afanye majaribio hata mkono wake tuuone kaingia mitini! Cjui kwanini watu wenye wowowo wana aibu sana ukianza na mama yangu Rumaiya na Bantu Lady kasoro muhanga wa ujambazi aliyeibiwa mabeseni mchana kweupeee yeye huwa hana aibuu wapi boss lady Antonnia

😔😔 atakuua huyoUtakuja kunitoa roho wewe😭😭
😍😍😍😍Nikiachwa unanioa nakwambia!!
Kweli picha la kutishaPicha la kutishaView attachment 2458171
jana ulinikumbatia vizuri, nitakurushia zile picha na wewe uone😂😂😂😂😂😂
Hii roho ya uchonganishi naiombea isivuke huu mwaka.
Nikajuajana ulinikumbatia vizuri, nitakurushia zile picha na wewe uone
😍😍😍😍😍😍 .... you tooNational Anthem
I love you.
Kumbe mnapendana humuhumu mmmh nyinyi😍😍😍😍😍😍 .... you too
Sana tu, in every action there must be an opposite and equal reactionHaha, kumbe leo ni siku ya malipo...kweli mjini hakuna bure! Viungo vitalia huku wao wakifurahi![]()




!!!