Utakuja kunitoa roho wewe๐ญ๐ญHuwa watu wanaachana siku kama hizi, ila wewe ni haiwezekani ๐คฃ
Leo kuna viungo vya mwili vitapata shida sana, hizo lodges zitakuwa occupied zote leoView attachment 2458005
Nimejikuta nipo huku au nimerogwa
HahaaaUnakunywa hakuna kulala
Huo mvinyo taratibu dadaake
Maana sio poa
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
KwambaView attachment 2458005
Nimejikuta nipo huku au nimerogwa
Hahahahaha....wanaenda kulipia nywele huko wadada walizosukaLeo kuna viungo vya mwili vitapata shida sana, hizo lodges zitakuwa occupied zote leo
Haha, kumbe leo ni siku ya malipo...kweli mjini hakuna bure! Viungo vitalia huku wao wakifurahi๐๐๐คฃHahahahaha....wanaenda kulipia nywele huko wadada walizosuka
Kheeeeeh shougaaaa umepatwaa na nn?Wezi kumanyokoo sana!!!!!!Na Sikukuu yote hii Hata Kula siweziiiiiii sina poziii hapa!!
Tobaaaaaaaaaaah!!! Kwan home hukuacha mtu?Vitu vya Sebuleni kama Tv et all Magodoro mawili jiko la gesi lile kubwa king'amuzi na vikolokolo Vingine kugundua hadi niwepo mwenyewe!!
Wasije tu kuwa wamemeba documents Zangu vyeti. n.k nitawehuka mbona!
dah wanajua kulostisha .Washenzi sana !!
Asante dear
Kha Wige ๐๐Kwamba
Unam Bite Tinsley hapo
Usije tu ukamuumiza tena
Ana machozi ya karibu mno
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Njoo ule mcheleKha Wige
heri ya sikukuu kwako .
Asante sana
Vacay woyeeeeeeeeYaniii akimjua mwizi ataua mtu Mbona!! Hawajui kama karudi nilikuja kumpokea tukaunga vacay lol!!






