Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona vilikuja virikuu viwili na maturumbeta kwa mujibu wa mashuhuda!
Na pia tumebaini unadaiwa saccos, braki, nyonya damu na benki nmb.
Na pia pale dukani kwa muha unadaiwa vijora viwili ulivyomtumia cocastic kwenye kitchen party yke!
Yaniii Sikukuu yote imekua chungu nakwambia Nilipanga kujilipua kama Beyonce leo afu nipite nakeddddddd kweri kweri hakii wameniweza!
 
IMG_0211.jpg

Nimejikuta nipo huku au nimerogwa
 
Back
Top Bottom