Yaniii akimjua mwizi ataua mtu Mbona!! Hawajui kama karudi nilikuja kumpokea tukaunga vacay lol!!Pole mwaisa
Ama beki tatu
Alikuwa anaingiza wasoma ramani nini
Ukiwa kazini?
Usijute sana ukakufuru
Mjeda si yupo na amerudi na mafao
Ndio wakati wake sasa
Sio mtinduane tu huko
Huku sie roho zatuuma
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Vp Wigelekelo kipenzi changu Antonnia amekatwa na maswaibu gani tena? 😥Ulivyo li zuri sasa
Ukiacha neno wezi
Linalofuata umelitamka vizuri kinyama
Yaani hapa natamani ulirudie tena
Mnyonya Mbususu Carrasco putin
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Wezi kumanyokoo sana!!!!!!Na Sikukuu yote hii Hata Kula siweziiiiiii sina poziii hapa!!


Ulivyo li zuri sasa
Ukiacha neno wezi
Linalofuata umelitamka vizuri kinyama
Yaani hapa natamani ulirudie tena
Mnyonya Mbususu Carrasco putin
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app





Vunja kibubu
NimesikiaTule pilau tushibe twende lodge sasa![]()
So sad imeniuma sana haswa ukizingatia alinunua TV curved kwaajili ya world cup! Mi nitamchangia 500k vp wewe na mkeo Saint Anne mtamchangia shs ngapi?Vunja kibubu
Ukajaze nyumba
Kuanzia
Jikoni
Sebuleni na chumba cha kulala
Wezi wamekwiba asee
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Hivi huja noticeMm naenda kanisani huko lodge kwa poker
PolesanaVitu vya Sebuleni kama Tv et all Magodoro mawili jiko la gesi lile kubwa king'amuzi na vikolokolo Vingine kugundua hadi niwepo mwenyewe!!
Wasije tu kuwa wamemeba documents Zangu vyeti. n.k nitawehuka mbona!
Ngoja niongee na ERoniSo sad imeniuma sana haswa ukizingatia alinunua TV curved kwaajili ya world cup! Mi nitamchangia 500k vp wewe na mkeo Saint Anne mtamchangia shs ngapi?
Antonnia kasasambuliwa furniture zote ndani kakuta chumba empty! Ila ripoti za awali zinasema kumbe alikuwa anadaiwa marejesho na ukizingatia mwisho wa mwaka huu watu wanataka vunja vikoba wagawane chao!

We ngosha mbona mchokozi hivi,🤣🤣 nitaenda pembeni nikaongee na Antonnia..Ngoja niongee na ERoni
Nitakurejea Mkuu Mnyonya Mbususu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Aisee inasikitisha sanaVitu vya Sebuleni kama Tv et all Magodoro mawili jiko la gesi lile kubwa king'amuzi na vikolokolo Vingine kugundua hadi niwepo mwenyewe!!
Wasije tu kuwa wamemeba documents Zangu vyeti. n.k nitawehuka mbona!