Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilipie Netflix kwan mm mwanamke?
5VrNpEXPK9O.jpg


Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe sasa nimeelewa. Haya tuombe uzima. Sasa nifundishe jinsi ya kuweka picha. Kuna siku niliahidi vizuri, nikaweka ila ikatokea namba sijui aaah hata sielewi
Hapa ndio penyewe na vocha utakuwa unapata za bure maana hela zangu hazina kazi 🥰.
Wigelekelo hebu toa maelezo chap namna ya ku-upload picha kwa watumiaji wa tekno.
 
Back
Top Bottom