Na mimi nawatakia kila la heriHaha kumbe ,Jana nimewaacha hapa mie .
nawatakia kila la kheri .
Kabisa watualike ..Na mimi nawatakia kila la heri
Washidwe kutualika kula pilau tu
Yaani mambo ni motoooKabisa watualike ..
Weuweeh ndo maana jana Anne ananipa wosia kuwa humu kuna watu wazuri kumbe ... Mambo yameiva .
Aah kumbe tukae mkao wa kula kabisa .. Wewe ni mshenga au ?Yaani mambo ni motooo
Hapa tunsmsubiri mama mchungaji Heaven Sent akirudi kutoka Afrika Kusini tu mambo yanahitimishwa
Hello shikamoo
Hupendi eeehShikamoo ya mtu above 18 na hasa ya mtoto wa kike; sijawahi itikia zaidi ya kutikisa kichwa tu.
Si mnong'onezane Kwa kimalkiaHebu ninong'oneze bana nikupe connection mapema sana tule ubwabwa uachane na upweke mtoto mzuri .
Uzuri Majogoo hatuna Mbambamba kama ulivyotuona.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mbinguni mchezo?Yule jamaa Mbinguni lazima tukutane.
Umependeza sana MkuuGoodmorning y'all by the orders of peaky blinders
View attachment 2452428
Ahsante boss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmejaliwaaa aseeeeh, mie ung'eng'e ni kwenye pepa, assignment, quiz, presentation etc, sio kuongea holelaaaaWeuweh kumbe genius yupo vizuri hivyo ... Bila shaka na wewe soon utakuwa unatema ngeli .
Sijui sana ngeli .. Maaana napenda kuongea zaidi ya kuandika ...
Nimekuwa kma wattoto wa St.Marys tulikuwa tunawasema wanajua ngeli lakini kuandika hawawezi .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongeraaaa dear, kwa kimomboo huna mpinzani.Hahaha adi chuo kikuu wapi lol
Shule za kawaida tu ...
Sema Chuo pamenijenga zaidi kuweza kuongea public japo nakuwa naogopa ... I'm almost there .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa mfanyie kweli tule ubwabwaaa.Hebu ninong'oneze bana nikupe connection mapema sana tule ubwabwa uachane na upweke mtoto mzuri .
Uzuri Majogoo hatuna Mbambamba kama ulivyotuona.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
You look way hotter than Brad PittGoodmorning y'all by the orders of peaky blinders
Hamna bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmejaliwaaa aseeeeh, mie ung'eng'e ni kwenye pepa, assignment, quiz, presentation etc, sio kuongea holelaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntaumbukaaaaaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida hadi niload kwanza ndo niongee... Mie Kiswahili kwenda mbele hapa .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongeraaaa dear, kwa kimomboo huna mpinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajanja washakufilisi?? Ulikwama wapiiii?Nimefulia siku hizi mdogo wangu
Hata kibanda cha vocha nimefunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ananiudhi mnoo, mda wote yeye ni kuongea kimalkia, kuna siku ntamchokaaa ntamchambaaa mbna.Hamna bhana
Ongea na Genius utajikuta unatema tu