Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Post M-alone 🥺🥺
Nitakutumia picha inbox, usiwazePost M-alone 🥺🥺
Sawa tu 🤕Nitakutumia picha inbox, usiwaze
Pumzika sasa mtoto mzuri, asubuhi uwahi kazini sawa ma'ma?Sawa tu 🤕
Acha yaninyonge haya mahaba.
Nateseka Mimi🤕Pumzika sasa mtoto mzuri, asubuhi uwahi kazini sawa ma'ma?
Baba mchunaji anakutesa mtoto mzuri hivyo?Nateseka Mimi🤕
Sikujua mtoto una vituko kiasi hikiCaptain Post M-alone
Unaninyanyasa
Mimi naumia wewe unasema vituko!🥺Sikujua mtoto una vituko kiasi hiki
kuna siku nitakufanyia vituko hapa hutoamini, siku njemaMimi naumia wewe unasema vituko!🥺
Moyo wangu umeniponza
Kwa maumivu makali nilale.kuna siku nitakufanyia vituko hapa hutoamini, siku njema
Nimefulia siku hizi mdogo wanguMjep nna shida ya Vocha ya buku ya airtel tafadhali
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Marahaba mdogo wanguHello shikamoo
Nipo poa vipi wweMarahaba mdogo wangu
Umeamka salama?
Nami niko poaNipo poa vipi wwe
Maisha yanasemaje
Habari njema hii , umejuaje