Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimesoma uzi wa deep pond kuhusu mama anayehutumiwa kuua Mme mjamzito na mtoto , inasikitisha ..

Wanaume mbaki njia kuu . kuna wanawake wabaya sana ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ananiudhi mnoo, mda wote yeye ni kuongea kimalkia, kuna siku ntamchokaaa ntamchambaaa mbna.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ada hanilipii yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha usimchambe itakuwa anaongea fluently huyo .

Mimi nishatoka huko kwenye kuongea sana wakati tupo primary huko .. Hadi nyimbo za kiswahili tunaimba kwa kizungu lol .
 
Mdogo mwenzio Mie!!

Mbaya zaidi hata kina mama sikuhizi nimeacha kuwasalimia maana nikiwasalimia na wao wananipotezea juu kwa juu. Unless awe mtu wa makamo Sana ndo ntatoa shikamoo yangu.

Mmmh udogo huo vipi .. Nahisi utakuwa umenipita tu miaka kadhaa.

Nasalimia almost kila nayemuon mkubwa kwangu .
 
Karibuni [emoji41][emoji39][emoji41][emoji41][emoji856]
20221220_121619.jpg
 
Back
Top Bottom