Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbappe
A true definition of his name "Mbappe"
Homeboy,
JamiiForums1326404544.jpg


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Dada huna mpinzani kwenye ngeli.

Hata Genius naye anakibomoaaa balaaa, siku hyo tupo class akaanza ku flows woiiiiiiiih, nkawa had najisemeaaa halali atuburuzee tyuuh.

Afu kasoma Ilboru na Tabora Boys. Ila ngeli sasa. Hatareee kajaliwa aseeeeeh.

Sent using Jamii Forums mobile app

Weuweh kumbe genius yupo vizuri hivyo ... Bila shaka na wewe soon utakuwa unatema ngeli .

Sijui sana ngeli .. Maaana napenda kuongea zaidi ya kuandika ...

Nimekuwa kma wattoto wa St.Marys tulikuwa tunawasema wanajua ngeli lakini kuandika hawawezi .
 
Wige mie stakiii ujue?

Huyo tinsiee hata wengi humu hawamuwezi kwa ngeli, yeye kapita mabus ya njano had Chuo kikuu, sasa mie ni St kayumba had chuo, ntafananae kweli?

Nnacho cha kuandika na kujibia madesa basss,

Ngeliii mchezooooo. Lol

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha adi chuo kikuu wapi lol
Shule za kawaida tu ...
Sema Chuo pamenijenga zaidi kuweza kuongea public japo nakuwa naogopa ... I'm almost there .
 
Hadi nikawa napenda timu yenu lol
My love for football ilianzia hapo

Hahaa siri yangu aisee
Jamaa namshukuru sana ...
Hebu ninong'oneze bana nikupe connection mapema sana tule ubwabwa uachane na upweke mtoto mzuri .

Uzuri Majogoo hatuna Mbambamba kama ulivyotuona.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom