Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Mane❤️❤️❤️Oh sad , watu wakiwa wanaondoka hivyo kama vile Mane dah
I love the man.
Mpole sana jamaa aisee,Mimi bado ni fan wake sana tu.
Mane❤️❤️❤️Oh sad , watu wakiwa wanaondoka hivyo kama vile Mane dah
Shetani mbaya sanaAsee,
Usikate tamaa,Okay asante kipenzi
Leo nitaotaShetani mbaya sana
Sijui huwa anazijumua ArushaHahaha bangi mbichi
So anatumia weed au
Asante mamaUsikate tamaa,
Si wote matakataka
Sura la kutisha litakujia ndotoni.Leo nitaota
Wamemuongezea mkataba eeh ?Sijui huwa anazijumua Arusha
Kuna muda huwa anazingua sana
KabisaAsante mama
Duniani hatufanani
Yupo sana pale ni kufa na kuzikana hadi 2028Wamemuongezea mkataba eeh ?
Kwa hiyo unamfuatilia huko BayernMane❤️❤️❤️
I love the man.
Mpole sana jamaa aisee,Mimi bado ni fan wake sana tu.
Nitaota hilo pajaSura la kutisha litakujia ndotoni.
Mkome kuomba picha ya sura zetu personal.
Simfatilii sanaKwa hiyo unamfuatilia huko Bayern
Yeah mstaatabu kweli
Duh parefuYupo sana pale ni kufa na kuzikana hadi 2028
Paja au kipapatio?Nitaota hilo paja
Una mapozi we mtoto..Paja au kipapatio?
He's there to stay❤️Duh parefu
Sema miaka inasogea sana
Ya wapi?🤣Una mapozi we mtoto..
Yeah naona alipata tuzo ya Socrates kwenye balloon d'orSimfatilii sana
Ila katika watu ninawapenda basi naye yumo
Yule jamaa Mbinguni lazima tukutane.Yeah naona alipata tuzo ya Socrates kwenye balloon d'or
Jinsi anavyosaidia jamii