[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbukaaa kituuu.
Kuna jamaa anafanya kazi NSSF, yulee bhanaaa alikua ananifatilia tangu 1St yr mie hata cmtaki, anakuja chuo na ndinga yake anabeba zawadi na pesa, mie hata sina habari nae. Mara anamtumia rafk angu anishawish kunipataaa, rafk angu ananisema etii oooh unakataa penye ulaji unataka nn sasa, nkawa namuambia siwezi kuwa na mtu nisiempenda.
Siku hiyo sasa kaja chuo, km kawaida yake yule jamaa kuna masharti nilimpaaa, ili niwe nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna alishindwa, na nilijua lazima ashindwee. Ikaisha hiyooooooo.
Tunaamwaga watu kijanjaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using
Jamii Forums mobile app