Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy birthday cocastic my love…
Ishi sana mwanangu mwenyewe…

Haya keki inalikia wapi??toa miongozo tujumuike.

Xoxo
Ameeeeeeeeeen!!! Much thanks ma chibongeeeee. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Hakuna Cake wala shampen, kikubwa uhai tyuuh. [emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy birthday mdogo wangu kipenzi changu 😍 cocastic ...Mungu azidi kukuinua na uzidi kufanyika kichwa na sio mkia..Cha kufurahi wangu..napenda kukuona ukifurahi kila iitwapo leo..😘😘
Ishi Sana mdogo wangu..Dada rumee anakupenda mnooo ❣️🤗.. happy birthday 🎂🍧🍨cheupe wangu ..furahia siku yako.😘😘😘😘
 
Sasa hapa unashiba???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nnaridhika, kushiba huo ni muamala tofauti kabisa.

Screenshot_2022-12-17-08-02-45-53_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg



Kwa hisani ya Mzigua90
 
Back
Top Bottom