Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😅😅 mapenzi ili ufurahi usiyachukulie serious sanaaa kivilee, yaona kama yapo yapo , alafu develop sana ushkaji na mwenza kuliko kuwa wapenzi.. hapo utapona ila bila hivyo jiandae kisaikolojia
Nilikuwa sijuagi hii kitu aise…nikiwa na mtu nastik nae huyo huyo sasa unakuta mwamba mwenyewe muda wote anawaza mizizi ya bangi basi fulu kilio😔😔

Baada ya kujifunza kutokukachi feelings kivile basi maisha ni fulu kitonga yan 😂😂
 
😅😅😅 Depal mbona kanimimina na maisha yanaenda ..

Ndio maana sie tumeamua kuwa Monks tu, haya mambo mengine unaweza kufariki kabla ya siku zako.
IMG_20221217_083458.jpg
 
Nilikuwa sijuagi hii kitu aise…nikiwa na mtu nastik nae huyo huyo sasa unakuta mwamba mwenyewe muda wote anawaza mizizi ya bangi basi fulu kilio[emoji17][emoji17]

Baada ya kujifunza kutokukachi feelings kivile basi maisha ni fulu kitonga yan [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu juzi kaniuliza "huwa unapenda kweli au unaigiza?"

Kuna maisha nje ya mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😅😅😅😅 chit-chat hapa 🤣🤣🤣 sio ya serious sana namuita tu huyu mmachame hapa ana deni langu
Hapana bhana…

Deni lako lifuate pm.
Yawezekana kakumimina kapata doni halafu unaleta hii michoro ya kiwaki mwisho umpeperushie doni wake😂😂

Wallah nitashirikiana nae tukuloge😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu juzi kaniuliza "huwa unapenda kweli au unaigiza?"

Kuna maisha nje ya mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi bado yapo aise sema ndio vile mnawindana.

Binafsi nikupenda nakuwa kama phaller na ninakuwa na utulivu wa kamakitoto cha nyau..tatizo sasa unajikuta umezama Kwa docta manyau nyau

Mbwa kala kitoto cha ngedere😂😂😂

This thing called mapenzi ni uto fc
 
Hapana bhana…

Deni lako lifuate pm.
Yawezekana kakumimina kapata doni halafu unaleta hii michoro ya kiwaki mwisho umpeperushie doni wake😂😂

Wallah nitashirikiana nae tukuloge😂😂😂
😅😅😅😅😅 banaa wee Depal mtani wangu.. mtu asichukulie serious kabisa.. mtani wangu toka zamani sana.. hata convo zetu humu ukiangalia ni za utani utani hatujawai kuonana hatujawai ongea hatujawai ji PM 😅😅😅 hanijui simjui ni kama vile dogo langu Lenie navyolitania humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu juzi kaniuliza "huwa unapenda kweli au unaigiza?"

Kuna maisha nje ya mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapendana ( kupenda kusikufanye uwe mjinga ) 😅😅😅

ukiwa kwenye uwanja wa vita usiamini mtu 😅😅😅
 
Back
Top Bottom