Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha weee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona humu nimetemwa na watu 😅😅😅 kuna mmoja namuangalia kidogo anitoe roho yangu.. mshenzi sana yule mtoto.. ila fresh bado namuelewa lakini alafu anajua namuelewa
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa dogo langu[emoji3059],

Allah akujaalie kheri[emoji1545][emoji1545]


Hiyo miaka 20 usijione mkubwa kutuvimbia wakubwa zako humu, mfyuuuuuuuu[emoji855]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada unanionea bhana 20 tenaaaaa, khaaaah
Ongeza mingine tenaaa, ahsanteeeee sanaaaa dada. Na baraka ziwe juu yetu sote.

Ameeeeeen!!! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi nikajaribu kuangalia nione nani kaanza kukuwishi selfika nikasema ngoja niwe wa kwanza.
Kwani umeona sasa woi…

Nakupenda pia my love waiti
Nakupendraaaaaaaaa piaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Thanks much. [emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona humu nimetemwa na watu [emoji28][emoji28][emoji28] kuna mmoja namuangalia kidogo anitoe roho yangu.. mshenzi sana yule mtoto.. ila fresh bado namuelewa lakini alafu anajua namuelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaa km chiziiiiiiii. Hebu mtajee hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😅😅😅 Nimeachika sana na kubwa kuliko kuna mdada chuo enzi hizo nime mtoa out .. kakutana na jamaa kaingia mkenge nikaanza kupangwa ni kaka yake nikaachwa kikatili, nikarudi hostel peke yangu yeye nikamuacha na kaka yake, miaka 11 mbeleni kaja kitaa anatafuta nyumba, akapewa namba na dalali kajieleza simjui na hanijui , nikamuambia nitakuja hapo niwape funguo mkague. Nimefika mwamba ( baba mwenye nyumba nasikilizia mteja ) malaa paaap huyo mtoto Vanessa 😅😅😅 aibu ya hatali shangazi la watu.. nikajidai sijarii.. akapapenda nikawaacha na dalali nikasepa.. siku akanipigia ananioamba tuonane 🤣🤣🤣🤣 nikalipwa hasara zangu zote za miaka iliyopita ila hiyo sio karma ni dunia duara .. inashort kuachana kupo inakuwa tatizo unapo ona hustahili kuachwa.. usimuamini mwanadamu 100% mwanadamu anaweza akawa chochote na mda wowote.. watu tunakutana na mengi.. ila kujifunza kukabiliana na yanapotokea..
Aise..mapenzi ni kitu cha kiwaki sana mxiu
 
Back
Top Bottom