Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Ni salama sana wakienyeji..za kwako??Habari za asubuhi mpendwa
Ni salama sana wakienyeji..za kwako??Habari za asubuhi mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c unajua ni mapenzi yakifikaa penyewe, huoni husikii. Baada ya hapo, mbna wanajutraaaaaaa kunifahamuuuu.Ulianza kuhonga mapema.ukome[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa jee ikitokea emergency? Au akabadili mawazo? Mambo ni mapema mapema. Wee hujui? LolUna haraka sana[emoji2]
Likewise
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezeeeka mie, c unaona leo natimiza 52yrs[emoji28][emoji28][emoji28] unanichinja hapa kichina.. ipo siku tugogane kidogo
Za kwangu njema/salama kabisa mkuu wangu wa kienyejiNi salama sana wakienyeji..za kwako??
hahahahaha,kipenzi bhanaHata sielewi kipenzi nafikiri unaanzia mwanzo😂😂
😅😅😅 tufanye namna banaa , hunitaki ili nife[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezeeeka mie, c unaona leo natimiza 52yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii Dunia ina visangaa sanaaaa. Khaaaaah[emoji28][emoji28][emoji28] tufanye namna banaa , hunitaki ili nife
nikupe moyo wote , ukinimimina basi sawa 😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii Dunia ina visangaa sanaaaa. Khaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pale uchukue 😅😅😅Jamani napitisha mchango wa kununua simu.sina simu maisha yamenikaba
Mimi niko poa/salama kabisa mpendwaLikewise
Salama tu vipi wewe
Huu ni waya mkuu au gundi kwenye huo mfuniko wa injini?
Niliwahi kupanda Boeing ya ATC zamani kabla Magu hajanunua hizi mpya aisee ile ndege ilikuwa imechoka. Nilikuwa siti ya dirishani na hapo tu ubavuni karibu na mabawa kulikuwa na rundo la waya peupe tu linaning'inia. Nilisali kila aina ya sala yaani lakini hao tukatua Mwanza salama....
Happy holidays [emoji1545]
View attachment 2449570
Thank you MkuuMimi niko poa/salama kabisa mpendwa
KARIBU
Wazee hatuna mambo hayo Kijana, habari za kujiharakishia Kifo kwa Presha hatutaki🥱
Kumbe Wazee humu tupo wengi eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezeeeka mie, c unaona leo natimiza 52yrs
Sent using Jamii Forums mobile app