Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

ivi na wewe mbona hunijbu PM zangu , au ndio umenikataa mapemaaa [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sitaki kuchekaaa hapaaa, PM kwangu kumejaa vumbi hatareeee, hata mtu wa kunipa just "hi" hayupoooo.

Nuksiii hii mie aceh tyuuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wenye pesa huwa wanakula kidogo tu. Mambo ya kujishindilia ugali kama Msukuma ni mambo ya kimasikini. Ndo maana huwezi kuona tajiri bonge. Never!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani mie nakulaaa, tatizo sinenepi tyuuh.
Km kubonda msosi nabonda kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom