Yaan alikuvua nguo na kukupanua miguu? Hebu sema kweli dear?Hapo kwenye kuonja ndo inauma aisee ...
MTU anakuonja na kukuacha .
Acha uongo weee!!!Hahahaaa... mtu mzima kuna vitu ukioviona unajuaa ohooooo tayariiiii!
Mie sitakagi jam mbona najiengua mwenyeweee!!
Sinaga kusubiria aiseee
Labda kama Mungu ameamua hayo mahusiano yavunjike
Ila vinginevyo aiseee atavuna alichopanda huyo mwambaView attachment 2448820
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Uongoo
Hiyo ni uongooo
Tunajirarijigi tu
Unakuta unamtext anakujibu
Haimaanishi anakukumbuka
Kabisaaa Dear komaa na ibadaa, upate faraja na amani ya nafsi.Baadae wapendwa muda wa Ibada
Antonnia
Yaan alikuvua nguo na kukupanua miguu? Hebu sema kweli dear?
mbna sitaki kuaminiiii, yaan nawee umeonjwaaaaa??????
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasipo elewaaa hapaaaaa, hawataelewaaa tenaaaaaa!!!!Umenichekesha huku jamani
Wengi hata huwa hawamaanishi; anakuja kupima tu kama anaweza kupasha kiporo or not. Utaona kabisa amerudi; ila hana jipya la maana
Plus mtu aliyekuacha akaenda huko kwingine ndiyo akaamue akurudie; inawezekana wala hata hajajifunza lolote; anatafuta tu pa kukimbilia kwa muda na wewe ndiyo boya wake; possibly kakosa kwingine pa kukimbilia. Kwa nini asirudi kwako akiwa bado hajatendwa huko nje? Ni kama wale tu wanaume wanaowakimbiaga wake zao mambo yakiwa mazuri; anakuja kurudi uzeeni amechoka, apeche alolo. Utasema amerudi kwa mkewe kwa sababu amegundua makosa yake na bado anampenda?
Ndiyo maana nilisema wengi sio wote. I didn't generalise. There is always an exception.
Plus amerudi na nini haswa cha kukufanya uone kweli huyu mtu amejifunza kitu huko nje na anamaanisha kweli? Sio mbambamba zilezile za zamani afu anajifanya ooh wewe ndiyo mke wangu, nimerudi. Maana na sisi ukiitwa tu "mke wangu" unajiona tayari mbele za baba Paroko. Utalia tena kama Kajala
Waambieeeeeeeeeeeew hawaaaaaa,Eeh wawe makini; sio kila anayesema amerudi kwako anamaanisha. Kuna wale unakuta amekuacha afu kaenda kuoa kwingine. Mara anaanza kukutafuta anajifanya anajutia kwa nini hakukuoa; ndoa yake ina changamoto nyenyenye. Wewe kwa ujinga wako unahisi eeh kweli ananipenda jamani, amerudi; unajidowngrade kutoka ex main chick to mchepuko. Ukija kushtuka manyoyaaa, mwenzio anasherehekea anniversaries zake na familia yake
Wee huogopiiii kupost wazi hivi.Wana namba yako, wanangoja tu ufanikiwe.View attachment 2449061
Kheeeeeh hii mitarimboooo vepeeeeee? Si inatokezea puani hiiThe batammariba people from TogoView attachment 2449113
Bado sijapata cha kuogopa humu JF. Jina langu ni sahihi, picha zangu ni sahihi na mpaka location pia niliyowahi kuiweka ni sahihi.
Kwendraaaaaaaaaaaah!!!Mniandalie maembe jamanii
my sweetpiee jeeeshiiiiii The one and only beibeee
Wapiiiii huko,Wananchi kule upande wa pili wanapiga keleee irudiweee irudiweee..tonnia
Hongeraaaaa sanaaa Mr.Bado sijapata cha kuogopa humu JF. Jina langu ni sahihi, picha zangu ni sahihi na mpaka location pia niliyowahi kuiweka ni sahihi.
We mtoto upo?nikajua huna vocha
Una tabia mbayaaa, vocha sina ndyoooo ntumie bas. KhaaahWe mtoto upo?nikajua huna vocha