Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Asante sanaHaha!! umependeza
Asante sanaHaha!! umependeza
Haya Sawa ccy ngoja nkutumie
Nambie bossWw binti [emoji41]
Ndio mim huyoUwiiiiiiiiii
Yan unanidanganya hadi Mimi jiran yako?Ndio mim huyo
NakupendaNambie boss
Ooooh sorry na picha enyewee nlifuta, ngoja niende kwa app niliko itoaa, nkatafute tenaa.Nimependa hiyo avatar yako dear naomba unitumie kwajili ya huo mnyoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo utanipa 5k au?Embu tuma tuone huo ukoka shem wangu kwa Ntiluseswa
Ehhh baby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo utanipa 5k au?
Tuma kwan baba yolly yolly [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ehhh baby
Subiri mkeka utiki basi shemejiTuma kwan baba yolly yolly [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee una bett? Huogopi?Subiri mkeka utiki basi shemeji View attachment 2436578
💃💃💃💃🤸🤸🤭🤭[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaa huko, enda na umri bibi wee.
Hahaha........................lakini Bata la elfu 40 kwenye Kila laki 1 si Iko poa hapo? 🤪Kula bata babu kesho itajisumbukia yenyewe [emoji14]
Nina watoto wengi Mjukuu, hivyo Kila mtoto ana chumba chake humo.Hebu iweke vizuri tuionee, mbna km Mall.
Kheeeeeh
Kwenye kila laki we save buku5 tu zingine zote tumbua[emoji14]Hahaha........................lakini Bata la elfu 40 kwenye Kila laki 1 si Iko poa hapo? [emoji2957]
Wazee tumekuwa waoga wa maisha kuliko Vijana [emoji85]
Hongera babuView attachment 2436288
Ukipata shilingi 100,000 kula Bata 40,000 then 60,000 nunua matofali 60 💪
Msisubiri kuja kujenga Uzeeni na hela ya Pension kama Babu yenu hapa 🤪
Hello Monday 🥂
Aunt 😂😂😂Ndyo inavyotakiwa hvyo [emoji23][emoji23] kila mtu apambane na hali yake yani niache kununua Gari nijenge mapema kisa watoto wangu waishi vizur nasema hvi wataisoma namba