Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,973
- 26,960
🙆🙆🙆🙆 Asante sana Mungu azidi kukubarikiNakupenda
🙆🙆🙆🙆 Asante sana Mungu azidi kukubarikiNakupenda
Mim ndo huyo kweli tenaYan unanidanganya hadi Mimi jiran yako?
Hio nyumba sijui Mall ikwapi Kwani namie niione babuu ushaifuta??Hahaha........................lakini Bata la elfu 40 kwenye Kila laki 1 si Iko poa hapo? 🤪
Wazee tumekuwa waoga wa maisha kuliko Vijana 🙈
Pole halafu upunguze kiherehere 😏Hela sina 😔😔
Boss
Nyieee Hii nyumba ya mtu binafsi au ya mashirika???? ????😳😳😳😳😳View attachment 2436288
Ukipata shilingi 100,000 kula Bata 40,000 then 60,000 nunua matofali 60 💪
Msisubiri kuja kujenga Uzeeni na hela ya Pension kama Babu yenu hapa 🤪
Hello Monday 🥂
Hivi kamanda ake coca Ntiluseswa alipotelea wapi???Embu tuma tuone huo ukoka shem wangu kwa Ntiluseswa
MjamzitoTayana-wog umejua kutususaaaa!
Acha dharau ww binti mm nakupenda unanambia nibarikiweAsante sana Mungu azidi kukubariki



🙄🙄🙄🙄 Passo mie mwenye vits iliyochangamkaBoss
Mimi ukinipa hata ka Passo ntakuheshimu sitaleta dharau
Genye mbayaa ndio chanzo cha yote 😒😒Pole halafu upunguze kiherehere 😏
Sijambo niambieAunt yangu ujambo![]()
Hata mimi sijambo Sophie.Sijambo niambie
Karibu QatarSijambo niambie

Msalimie Messi 😂Karibu Qatar![]()
Unataka Babu yako nife kwa Presha 🤪Kwenye kila laki we save buku5 tu zingine zote tumbua![]()
Thanks Mjukuu, nataka mkija likizo huku kijijini kumsalimia Bibi yenu msikose sehemu ya kulala 🤪Hongera babu
Nimeona aibu kujenga Uzeeni Babu yenu. Nyie jitahidini kujenga saivi mkiwa bado Vijana 🤪Nyieee Hii nyumba ya mtu binafsi au ya mashirika???? ????😳😳😳😳😳
Hongera sana Babuu!!