Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,774
- 256,812
Hapo nimesuka bunda sita rasta ndefu. Na kichwa kikubwa🤣🤣 na nina nywele nyingi bei ya kusuka 30,000/=Nimeona lipssss kwanza lol🥰🥰🥰🥰!!
Asante kipenzi mie nina kakichwa kadogo zitakaa vizuri Kweli??
Umenugaaaa sana mamaaaaa 😘 uzuri!
Minimum Ni sh ngapi kwanza ??🤔🤔






