cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Wee shougaaaaaa mbna kmyaa sanaaa? Hebu sababishaa bas.usiwazee kabisa!
Wee shougaaaaaa mbna kmyaa sanaaa? Hebu sababishaa bas.usiwazee kabisa!
Nina watoto wengi Mjukuu, hivyo Kila mtoto ana chumba chake humo.
Hata wakitaka kuolea na kuishi na wake zao nyumbani nafasi ipo![]()




muundo wake ulivyoo yaan, uwiiiiihIpo km Mall.Nyieee Hii nyumba ya mtu binafsi au ya mashirika???? ????
Hongera sana Babuu!!
Ndio Mungu azidi kukubariki uendelee kunipendaAcha dharau ww binti mm nakupenda unanambia nibarikiwe![]()
Uje holiday uione yote Mjukuu 🤗muundo wake ulivyoo yaan, uwiiiiih
Aje holiday aione yoteUje holiday uione yote Mjukuu![]()


Nimependa mwanya wako mkuu LovelovieNdio Mungu azidi kukubariki uendelee kunipenda
Nilisikia mahaliNimependa mwanya wako mkuu Lovelovie

Kwakweli tujiachie tu Kwa bibiThanks Mjukuu, nataka mkija likizo huku kijijini kumsalimia Bibi yenu msikose sehemu ya kulala 🤪
Hayo uliyoyasikia sehemu ni ya kweli kabisa bhageshiNilisikia mahali
Eti wenye mwanya (wanawake)
Huwa zinabana na joto la kwenda
Eti ni kweli izunaye![]()

Wazee ni watu wema Kijana 🤪Aje holiday aione yote
Aone Nini
Zee la mchongo sio mtu mzuri wewe![]()
Kokoro ulilotega asubuhiWazee ni watu wema Kijana
Aje kijijini kumsalimia Babu yake![]()

Babu Umri umeenda, hapa tunashauri Vijana tu 🤗Kokoro ulilotega asubuhi
Lishakunasia vibua na mboju
Kazi kwako
Zee la mchongo![]()
Na Bibi yako juzi alikuulizia, anasema uje umsaidie kupanda mahindi ukichukua likizo ya Christmas 🤗Kwakweli tujiachie tu Kwa bibi
Umri wapi weweBabu Umri umeenda, hapa tunashauri Vijana tu![]()

Iko sehemu gan?Uje holiday uione yote Mjukuu![]()
Aje holiday aione yote
Aone Nini
Zee la mchongo sio mtu mzuri wewe![]()






khaaaaahKwemamkwepu jr
Where are yuuu babaah!!! Nimekumic hadi naumwaaa!! Njoo useme neno nafsi yangu ipateee kuponaaaa.
![]()