Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Embu selfika nione udogo wako
FB_IMG_1660130292475.jpg
 
View attachment 2436288
Ukipata shilingi 100,000 kula Bata 40,000 then 60,000 nunua matofali 60 [emoji123]

Msisubiri kuja kujenga Uzeeni na hela ya Pension kama Babu yenu hapa [emoji2957]


Hello Monday [emoji1635]
Hiyo ni Mall?

Nweiii hongera sanaa kwa hatua hiyo, uzidi kuyafikia na kutimiza malengo yako.

Keep it up gran bah.
 
Back
Top Bottom