Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Unajenga mapema ukifa je kula Bata ww nunua Gari enjoy maisha life is too shortView attachment 2436288
Ukipata shilingi 100,000 kula Bata 40,000 then 60,000 nunua matofali 60
Msisubiri kuja kujenga Uzeeni na hela ya Pension kama Babu yenu hapa
Hello Monday![]()
Wala hawatatusumbua mkuu......tutavizibua effectivelyMtawasumbua sasa madokta kuwatibu chekelea na kuvizibua 😒😒😒 haya shauli yenu
Kuwa na adabu na Babu yako 🤪Babu la mchongo
Nyavu zako nazielewa kinoma
Mvuvi kazini![]()
Nataka niwaachie mahali pa kuishi watoto, wasije nitukana kuwa hela zote nimekula Bata 🤪Unajenga mapema ukifa je kula Bata ww nunua Gari enjoy maisha life is too short
Santo sanaaaa!!!
Nyumba ya kuishi MjukuuHiyo ni Mall?
Nweiii hongera sanaa kwa hatua hiyo, uzidi kuyafikia na kutimiza malengo yako.
Keep it up gran bah.
Watoto watajenga ya kwao Kwan ww dingi ako alikuachia nyumba siulitafuta mwenyewe bossNataka niwaachie mahali pa kuishi watoto, wasije nitukana kuwa hela zote nimekula Bata![]()
Una nikumbusha kuna Prof mmoja Chuo Kikuu alikuwa anatutania darasani kuwa hakuna haja ya kujenga nyumba kubwa kwaajili ya watoto. Anasema wewe Jenga vyumba viwili tu then chumba kimoja Cha Baba na Mama na kingine wajaze watoto wote humo yaani Ke na Me.Watoto watajenga ya kwao Kwan ww dingi ako alikuachia nyumba siulitafuta mwenyewe boss
Njoo kwanza unibless niondoe hili wenge dear!! 😘😘😂😂 Embuuu
Njoo nilitoe 😉😉Na nina wenge kweri kweriiiiii!!!!!!
Ndyo inavyotakiwa hvyoUna nikumbusha kuna Prof mmoja Chuo Kikuu alikuwa anatutania darasani kuwa hakuna haja ya kujenga nyumba kubwa kwaajili ya watoto. Anasema wewe Jenga vyumba viwili tu then chumba kimoja Cha Baba na Mama na kingine wajaze watoto wote humo yaani Ke na Me.
Anasema wakifika miaka 18 tu Kila Mmoja atahama nyumbani![]()

kila mtu apambane na hali yake yani niache kununua Gari nijenge mapema kisa watoto wangu waishi vizur nasema hvi wataisoma nambaUshauri wa maangamiziKuwa na adabu na Babu yako
Msije sema Wazee ili wakupe ushauri wanataka uwalipe, Mimi wangu nimetoa bure kwa Vijana![]()

AyiseeeeeNdyo inavyotakiwa hvyokila mtu apambane na hali yake yani niache kununua Gari nijenge mapema kisa watoto wangu waishi vizur nasema hvi wataisoma namba
Nishatolewaaa mieee!Njoo nilitoe 😉😉
Ushatoka kifungonii...karibuuuuuHiyo ni Mall?
Nweiii hongera sanaa kwa hatua hiyo, uzidi kuyafikia na kutimiza malengo yako.
Keep it up gran bah.
😒😒😒Nishatolewaaa mieee!
Hebu iweke vizuri tuionee, mbna km Mall.Nyumba ya kuishi Mjukuu
Amen![]()