Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante naona Ule wa pale juu wa upanga wa jogoo bado Unaongoza!
Kwani wanasukia rasta za kawaida au zipo spesho??
Unaweza suka za kawaida ila kunawengine wanasuka pembeni za kawaida mikia ya afro kinky Wanawka na maji ya moto wengine wanaaacha
Screenshot_2022_1205_113526.png
unaweza bana hiv pia
 
Nimeona lipssss kwanza lol🥰🥰🥰🥰!!
Asante kipenzi mie nina kakichwa kadogo zitakaa vizuri Kweli??

Umenugaaaa sana mamaaaaa 😘 uzuri!
Asanteee mamy enhee knotles haimkatai mtu Mamy fundi tu azipange vizuri
 
Mbona Naona umekaa kimama mama sana au ushamba wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Lol asante niweke mingi nichaguee
Sasa wee n binti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka had machozi, utakosa u headmistress kisa misuko ya binti, suka ki mama wee.
 
Back
Top Bottom