Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Antonnia

Shogaaa huu msuko mzuri sanaa, ila rasta lazima bunda zaidi ya 4, inatakiwa itune zaidi. Pia msusi mwenyewee awe n fundi haswaaah

Niliwahi kumuona dada m1 mwaka jana wa Masters alisuka, wee alipendeza hatareee, afu sijawahi ona mwingine,

Hii nimetoa huko fb, nilivoona ndo nkaichukua haraka, had nmemkumbuka yule dada.

Jaribu na huu afu uone.
FB_IMG_16702274079550386.jpg
 
Antonnia

Shogaaa huu msuko mzuri sanaa, ila rasta lazima bunda zaidi ya 4, inatakiwa itune zaidi. Pia msusi mwenyewee awe n fundi haswaaah

Niliwahi kumuona dada m1 mwaka jana wa Masters alisuka, wee alipendeza hatareee, afu sijawahi ona mwingine,

Hii nimetoa huko fb, nilivoona ndo nkaichukua haraka, had nmemkumbuka yule dada.

Jaribu na huu afu uone. View attachment 2436435
Hiz kuna yebozake unasuka bunda Tatu ngoja nimtumie niutafute
 
Antonnia

Shogaaa huu msuko mzuri sanaa, ila rasta lazima bunda zaidi ya 4, inatakiwa itune zaidi. Pia msusi mwenyewee awe n fundi haswaaah

Niliwahi kumuona dada m1 mwaka jana wa Masters alisuka, wee alipendeza hatareee, afu sijawahi ona mwingine,

Hii nimetoa huko fb, nilivoona ndo nkaichukua haraka, had nmemkumbuka yule dada.

Jaribu na huu afu uone. View attachment 2436435
Mbona Naona umekaa kimama mama sana au ushamba wangu🤣🤣🤣🤣!! Lol asante niweke mingi nichaguee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Unataka nianze kuchambuliwa na kuchambwa Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!
Mie ajuzaaaa li shangaziiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Usikubali
Wanakuingiza mkenge hao

Heri uendelee tu na mbinjuo tu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom