Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
[emoji15]Na ile style yao ya kufuga madevu khaaa, wanachefua kwakweli [emoji1787][emoji1787]
[emoji15]Na ile style yao ya kufuga madevu khaaa, wanachefua kwakweli [emoji1787][emoji1787]
Weee mzee unaenda Wapi rudi hapaaaa🤭Oyeeereeeee🏃🏃🏃🏃
[emoji848]Nakupa makiss kabisa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Af nikaagize bia zangu 2 bariiiidi[emoji39]
Tupo hapaaaa hatutokiii tunasubiri kichambooooo! Tutaroganaaaa Walai 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤭🤭!!Leo mkae hapaaaaa nawawekea kigodoro changuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nichange mind-set anguuu.Hamna watu romantic kama wazee, wanajua kubembeleza hatari.
Wewe ulikua ni muoga ndio maana feelings zikapotea.
Af si unaona alikuelewa, imagine wangekua ni hutu tuvijana tusharobaro mshaingia eneo la tukio unamwambia hauko sawa unafikiri angekuelewa?
Kwanza hapo hela yenyewe ya hoteli kakopa kwa washkaji zake af umwambie hali mzigo weee ungeelewa mziki mbona.
Wazee oyeeeeee[emoji3059][emoji3059]
Nikitoka hapa mniite mbwaLeo mkae hapaaaaa nawawekea kigodoro changuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahhaa balaaAngeisoma namba mbona🤣🤣🤣
Wazee ni wako very understanding.
Kamera tu kipenzi...Looking good madam.
Gushepu iko mwake🥰
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahiv yuko over 45, imagine turudiane?Mind set yako tu hiyo[emoji28]
Sasa si mrudiane?
Hivi kule Turkey hawawezi kurudisha umri nyuma???Ngoja nichange mind-set anguuu.
Mjep ukifika 45 tuna achanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁😁😁😁Hivi kule Turkey hawawezi kurudisha umri nyuma???
Nauliza tuuu....
AiseeHeka heka haziwaishi sababu bado wapo kwenye balehe so ni kama kuna tuvitu tunawawasha washa huko kunako tunasababisha wasiweze kutulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] headmaster wako hajawahi kukuita ofisini? Au kukupandisha cheo uwe second mistress?Wee hio ya Mwezi mei dear!!
ya leo hii hapa na vitenge vyangu ka mpishi sitaki shari na watotooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cocastic njoo ona mpishi [emoji23][emoji23][emoji23]
Wa 45+ fanya kunipasia hapaaaa🙇🙇🙇 nile maisha mieee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahiv yuko over 45, imagine turudiane?
Weee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nijazeee nijazeee mr vocha weee nijazeee tyuuuu !!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Wabheja sana boss kubwa Africa Asia Qatar na vitongoji vyake [emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo hapaaaa hatutokiii tunasubiri kichambooooo! Tutaroganaaaa Walai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!
Jichanganye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nachukua notes.
Tinsley sijui yuko wapi anapitwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaa!!!!Nikitoka hapa mniite mbwa
Nimekaa paleee[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
nasubiri kigodoro