Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee hio ya Mwezi mei dear!!
ya leo hii hapa na vitenge vyangu ka mpishi sitaki shari na watotooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cocastic njoo ona mpishi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ndo nguo sasa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa je nani mwingine kwani !!! Hakunaaaaa .. tutabanana hapohapoooo acha turoganeeeee wasintanieeee kabesaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] in coca's voice [emoji16][emoji16][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna watu romantic kama wazee, wanajua kubembeleza hatari.
Wewe ulikua ni muoga ndio maana feelings zikapotea.

Af si unaona alikuelewa, imagine wangekua ni hutu tuvijana tusharobaro mshaingia eneo la tukio unamwambia hauko sawa unafikiri angekuelewa?
Kwanza hapo hela yenyewe ya hoteli kakopa kwa washkaji zake af umwambie hali mzigo weee ungeelewa mziki mbona.

Wazee oyeeeeee🥰🥰
Oyeeereeeee🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom