Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Depal dyadyaaaa ake,

Lenie didii akeeeee

sophy27 shangaziiii akeee

Antonnia shoga uyoga km sio mbogaa akee

Tinsley dear ake.

Leo nliingia app 1 hivi, maana nliisusaga kitambooo na nkasahau password nkaacha, sasa leo niliikomalia nkawaza na kuwazua password zote nilizohisi hatimae nkapatia bhana.

Nlivo log in, uwiiiiiiiiih nmekutaa text nyingiiii mweeeeeeeeeh sasa ktk kuangalia nianze na nan kumjibu, nkaamua kuchaguaa handsomes 10 (kwa mtazamo wangu) nkawapata hawa hapa kila mtu na no yake kwa u handsome. Lol

Sasa nyie mniambie nianze na yupi,

Nimeamua tyuuuh kuwaomba ushauri!!! WeraaaaaaaahView attachment 2430126View attachment 2430127View attachment 2430128View attachment 2430129View attachment 2430130View attachment 2430131View attachment 2430132View attachment 2430133View attachment 2430135View attachment 2430136
Uanze na ipi kufanyeje kwanza??? Mie wote naona vitoto vishororo tyu kidoooogoo namba 9 huyooo naona nae kidogo sana!! Haya Tinsley Lovelovie mkujee mkujeee chagua hensamu hukuuu!!
 
Ebu ncheke kwanza !! Nani huyo wa kunikataza miee humuu fanya kuniletea hapaa kwanza nimuone !!,??!!
Mi Nakutizama tu unavonipotezea mwenyewe sijui nimekukosea nini hata shoss akee !! Mi mwenyewe Jambazi suguu alieshindikana!!
shogaaaaa c naulizwaaaa mbna na tonnia kmyaaaa, mie najibu sijui hata ila tuko fresh mbna, naambiwa kheeeeeh umepigwaaaa stop uwiiiiiih.

Mie nkajisemea bas JF ina makubwaaaaa woiiiiiiiih.
 
Depal dyadyaaaa ake,

Lenie didii akeeeee

sophy27 shangaziiii akeee

Antonnia shoga uyoga km sio mbogaa akee

Tinsley dear ake.

Leo nliingia app 1 hivi, maana nliisusaga kitambooo na nkasahau password nkaacha, sasa leo niliikomalia nkawaza na kuwazua password zote nilizohisi hatimae nkapatia bhana.

Nlivo log in, uwiiiiiiiiih nmekutaa text nyingiiii mweeeeeeeeeh sasa ktk kuangalia nianze na nan kumjibu, nkaamua kuchaguaa handsomes 10 (kwa mtazamo wangu) nkawapata hawa hapa kila mtu na no yake kwa u handsome. Lol

Sasa nyie mniambie nianze na yupi,

Nimeamua tyuuuh kuwaomba ushauri!!! WeraaaaaaaahView attachment 2430126View attachment 2430127View attachment 2430128View attachment 2430129View attachment 2430130View attachment 2430131View attachment 2430132View attachment 2430133View attachment 2430135View attachment 2430136
Anza na Bwana
 
Siku nikiotea pisi kali na nikiwa na hela nitaenda nayo huko 😅😅 au siku nikioa
Hiko kisiwa ukiwa hapo ndipo uta feel uko paradise, mchanga wa beach ni mweupee, maji yapo clear sana... ukikaa kwenye hizo overwater bungalows ile mida ya night mko couple na ka upepo ka bahari, aisee mtazagamua humo...
 
Back
Top Bottom