Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio wa kupigwa stop mie na utu uzima Wangu wote huuu!! Lol!!! Sijui hata shetani gani kaingilia kati Walai mi mwenyewe selewiiiii shoss angu!!
kuanzia leo shetani apigweee vitaaaa na atuacheeee sie.
 
Kwa hio we unafurahia mnyanduano
Kheeeeeh sasa kwa mwanaume nafuata nn? Kunyanduliwa baas, kuhus pesa akinipa yes asiponipa yes, ili hali nampendaaa na nimeridhia kuwa nae.

Kwan kabla ya kukutan au kuwa na yeye pesa, matunzo au maisha yangu yalikua yanaendeshwa na nan?

Sijawahi ingia kwenye mapenzi kisa pesaaa noooopeeeeee!!!
 
Lakini kwenye kuolewa si lazima utafute ambae yuko vizuri ki uchumi
 
Back
Top Bottom